Luka 11:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mtu mwenye nguvu zaidi akimshambulia na kumshinda, atamnyang’anya silaha alizozitegemea na kugawanya mali yote.