Luka 10:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
litokea kwamba kuhani mmoja alikuwa anapitia njia ile. Ali pomwona huyo mtu, akapita upande mwingine wa barabara akamwacha hapo hapo.