Luka 10:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini msifurahi kwa kuwa pepo wanawatii, ila furahini kwa kuwa majina yenu yamean dikwa mbinguni.”