Luka 1:64

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Papo hapo uwezo wa kusema ukamrudia Zakaria naye akaanza kumsifu Mungu.