Luka 1:62

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi wakaamua kumwuliza Zakaria kwa ishara kwamba yeye angependa mtoto aitwe nani.