Luka 1:58

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Habari zikawafikia majirani na jamaa jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu. Nao wakafurahi pamoja naye.