2 Wathesalonike 3:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
wala hatukula chakula cha mtu ye yote pasipo kulipa. Bali tulifanya kazi kwa juhudi usiku na mchana ili tusimlemee mtu ye yote kati yenu.