2 Wathesalonike 3:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sasa, Bwana wa amani mwenyewe awapeni amani nyakati zote na kwa njia zote. Bwana na awe nanyi nyote.