2 Wathesalonike 1:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wataadhibiwa kwa kuangamizwa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake,