Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
2 Wathesalonike 1:7
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
na kuwapeni ninyi mnaoteseka nafuu pamoja na sisi pia. Haya yatatokea wakati Bwana Yesu atakapodhi hirishwa kutoka mbinguni katika mwali wa moto pamoja na malaika wake wenye nguvu.
Read full chapter →
Compare all translations →