2 Wakorintho 9:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Isije ikawa nitakapokuja na watu wa Makedonia nikute hamko tayari niaibike, na ninyi zaidi, kwa kuwa nilishasema mko tayari.