2 Wakorintho 9:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini sasa nawatuma hawa ndugu ili kujivuna kwetu kuhusu mchango wenu kusije kukawa ni maneno matupu, bali muwe tayari kama nilivyosema mko tayari.