2 Wakorintho 6:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo, tokeni kati yao, mkajitenge nao, asema Bwana. Msiguse cho chote kisicho safi; ndipo nitawakaribisha kwangu.