2 Wakorintho 6:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?