2 Wakorintho 3:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ikiwa huduma inayowahukumu watu ina utukufu, huduma inayoleta haki si itakuwa na utukufu zaidi?