2 Wakorintho 3:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hakika kwa hali hii, kilichokuwa na utukufu hapo mwanzo, sasa hakina utukufu tena kikilinganishwa na utukufu uliopo.