2 Wakorintho 13:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Jichunguzeni mwone kama mnashika imani yenu. Jipimeni. Je, hamtambui ya kuwa Kristo yuko ndani yenu, au pengine mmeshindwa kufikia kipimo hicho?