2 Wakorintho 12:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nitafurahi kutumia kila nilicho nacho hata mwili wangu pia, kwa ajili yenu. Je kama nawapenda zaidi, mtanipenda kidogo tu kwa sababu hiyo?