2 Wakorintho 12:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, kuna kitu ambacho hamkupewa sawa na wengine, isipokuwa mimi sikuwa mzigo kwenu? Nisameheni kwa kosa hili.