2 Timotheo 4:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Jitahidi kufika huku kabla ya majira ya baridi kali. Sal amu zako kutoka kwa Eubulo, Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.