2 Timotheo 4:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nilipojitetea mara ya kwanza hakuna hata mmoja aliyekuwa upande wangu, kila mmoja alinikimbia. Naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.