2 Timotheo 4:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninakuamuru mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu ambaye atawahukumu walio hai na wafu; na kwa kuja kwake na ufalme wake: