2 Timotheo 3:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Andiko zima lina pumzi ya Mungu nalo lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kuwaongoza na kuwafundisha katika haki