2 Timotheo 1:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
na sasa imedhihirishwa kwa kuja kwake Mwokozi wetu Kristo Yesu ambaye ameondoa kifo kabisa na kuleta uzima na kutokufa kwa njia ya Injili.