2 Petro 1:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mtu asiyekuwa na sifa hizi ni kipofu, haoni mbali, na amesahau kuwa ametakaswa dhambi zake za zamani.