Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
2 Petro 1:3
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Uweza wake wa kimungu umetupatia mambo yote yanayohusiana na uzima na utauwa kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake.
Read full chapter →
Compare all translations →