2 Petro 1:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo ninakusudia kuwakumbusha hayo siku zote, ingawa mnayafahamu na mmekuwa imara katika kweli mliyo nayo.