1 Yohana 3:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila atendaye dhambi ni wa shetani; kwa maana shetani ametenda dhambi tangu mwanzo. Mwana wa Mungu alikuja ili aziangamize kazi za shetani.