1 Yohana 3:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watoto wadogo, mtu asije akawadanganya. Kila atendaye haki ni mwenye haki, kama Kristo alivyo wa haki.