1 Wathesalonike 4:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hatuna haja ya kuwaandikia kuhusu upendo kati ya ndugu, kwa maana ninyi wenyewe mmekwisha kufundishwa na Mungu mpendane ninyi kwa ninyi