1 Wathesalonike 4:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo mtu ye yote anayekataa mafundisho haya hamkatai mwanadamu bali anamkataa Mungu anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.