1 Wakorintho 8:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo kama chakula kitamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi, sitakula nyama kamwe, nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke.