1 Wakorintho 7:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila mtu aishi maisha aliyopangiwa na Bwana, na ambayo ameitiwa na Mungu. Hii ndio amri ninayotoa kwa makanisa yote.