1 Wakorintho 5:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mnawezaje basi kujivuna! Badala yake mngepaswa kuom boleza. Huyo aliyefanya tendo hili afukuzwe na kutengwa nanyi.