1 Wakorintho 4:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mimi sijali kama ninyi mkinihukumu au nikihukumiwa na mahakama ya wanadamu; kwa kweli hata mimi mwenyewe sijihukumu