1 Wakorintho 4:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ingawa mnao viongozi wasiohesabika katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Kristo Yesu kwa kuwaletea Injili.