1 Wakorintho 4:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tunaposingiziwa tunajibu kwa maneno ya upole. Tumekuwa kama takataka ya dunia hii, na uchafu wa ulimwengu mpaka leo hii.