1 Wakorintho 16:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kesheni; simameni imara katika imani, muwe shujaa na hodari.