1 Wakorintho 16:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ikiwa Timotheo atakuja kwenu mkaribisheni asiwe na woga wo wote akiwa nanyi kwa sababu anaendeleza kazi ya Bwana, kama mimi nifanyavyo.