1 Wakorintho 14:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sasa ndugu zangu, kama nikija kwenu nikasema kwa lugha ngeni, nitapata faida gani kama sikuwaletea mafunuo au neno la maarifa au unabii au mafundisho?