1 Wakorintho 14:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini anayetamka neno la Mungu anasema na watu akiwasaidia kupata nguvu, na kuwatia moyo na kuwafariji.