1 Wakorintho 14:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana anayesema kwa lugha, hasemi na watu bali anasema na Mungu. Hakuna mtu anayemwelewa, kwani anasema siri katika Roho.