1 Wakorintho 14:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini kama hakuna mtu wa kutafsiri, huyo mzungumzaji akae kimya kanisani na aseme na nafsi yake mwe nyewe na Mungu.