1 Wakorintho 14:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama mtu akisema kwa lugha, basi waseme si zaidi ya wawili au watatu, mmoja baada ya mwingine; na lazima awepo mtu wa kutafsiri.