1 Wakorintho 12:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na kama sikio lingesema, “Kwa kuwa mimi si jicho, basi mimi si sehemu ya mwili.” Hiyo isingefanya hilo sikio lisiwe sehemu ya mwili.