1 Wakorintho 12:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama mguu ungesema, “Kwa kuwa mimi si mkono basi mimi si sehemu ya mwili.” Hiyo isingefanya huo mkono usiwe sehemu ya mwili.