1 Wakorintho 11:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo mtu ye yote anayekula mkate huo au kukinywea kikombe hicho isivyostahili, atakuwa na hatia juu ya mwili na damu ya Bwana.