1 Wakorintho 11:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Maana kila mlapo mkate huu na kunywa katika kikombe hiki, mnatangaza kifo cha Bwana mpaka atakapokuja.