1 Wakorintho 1:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo hamjapungukiwa na karama yo yote ya kiroho wakati mnangoja kudhihirishwa kwa Bwana wetu Yesu Kristo.