1 Wakorintho 1:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mungu alichagua vitu vya chini na vinavyodharauliwa humu duniani, vitu ambavyo si kitu, ili avibatilishe vile ambavyo vinaonekana kuwa vya maana;